Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Ndio mtapoteana mbayaaaa. Ninkama Yanga tu siku Gsm aseme akae kando ndio habar yote itaishia hapoHii simba hii huyu moo atuachie tim yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mtapoteana mbayaaaa. Ninkama Yanga tu siku Gsm aseme akae kando ndio habar yote itaishia hapoHii simba hii huyu moo atuachie tim yetu
Watakuja kujinyonga Hawa wanahitaji ushauri sio Bure.Makolo hawapo uwanjani,hawapo vibanda umiza na hawapo mitandaoni wako wapi hawa makolo?
Wapi hapo mnapoupiga mwingiSimba tunaupiga mwingi sana hapa
Ayubu kapopolewaKwani kuna habarii gani huku jamani? 😂
Sisi makolo tunaupiga mwingi sana mpaka unamwagika hapa mkwakwani stadiumWapi hapo mnapoupiga mwingi
Utangazaji uchwara huo. La Simba goooooooo. La coast wanajipatia goal dk ya 24Leo 09.03.2024
Muda wa Saa 12 Jioni.
Coastal Union ya Tanga, Inaikaribisha Simba SC ya Dar es salaam katika mchezo wa Ligi kuu Tanzania Bara.
Simba huu ni mchezo wake wa 17, ikiwa na Alama 36. Nafasi ya Tatu(03) katika msimamo.
Coastal Union huu ni mchezo wake wa 20, Alama 27, Nafasi ya Nne katika Msimamo.
Tukutane Baadae kwa Updates.
View attachment 2929278
#nguvumoja#.
Kikosi cha Simba Kitakachoanza.
View attachment 2929533
Kikosi Cha Coast Union.
View attachment 2929562
NB: huu mchezo ni muhimu sana Simba kushinda.
Updates...
Dakika 6'
Inapigwa kick kali, Lackred anapangua.
Inakuwa kona.
Wanapiga kona Coast haileti madhara
Dakika ya 10'
Simba wanapata kona, anapiga Chama C.
Gooooooal Freddy anaipatia Simba goli lakuongoza.
Bonge la Goal....
Goooooal....
Dakika 15'
Coastal Wanapata kona hapa.
Inapigwa haileti madhara yoyote.
Dakika 24'
Lukasi Kikoti anaipatia Coastal Union goli la kusawazisha, Kupitia free kick.
1-1
45'
Nyongeza ni 4'
HT
1-1
Hujapigwa Ban wewe Utoyote?Kipindi hiki ..... simba wanapitia kipindi kigumu haijawahi tokea 😂😂😂 ni kama Ile kipindi Cha economic hardship ( economic depression) au during Napoleonic war
Slava Simba
Hail..... MAKOLOoooooooooooooooooo 😂
Subirini mchomekweSisi makolo tunaupiga mwingi sana mpaka unamwagika hapa mkwakwani stadium