Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo wewe ndio babu?Nimekuelewa mpenzi!!
Unapopishwa na wachezaji kama Phiri na Baleke hata kama wewe ni wa kawaida inabidi ujitume haswa.Si mchezo
[emoji23][emoji23][emoji23]Mletee ishakuwa giza hatoki tena
[emoji7][emoji7][emoji7]Nimekuja mbio nani huyoo[emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ubovu wa Simba unapimwa na nini? Embu tupe data, kapoteza mechi ngapi kwenye ligi, ligi ya mabingwa hali ipoje? Kwanini Simba ni mbovu?Siku wanachama wakiamua kwa dhati kumuweka nje ndugu Abdala muhene try again na kundi lake yeye na Mangungu ndio Simba itaweza kusimama vizuri!
Wanachama inabidi wafumbe macho kabisa wawafukuze hao watu na mwekezaji wao bw. MO waanze upya kabisa! Ni bora tuteseke kwa misimu miwili ijayo ila tujenge timu imara kuanzia kwenye mifumo ya uendeshaji, watendaji,usajili n.k
Kwasasa kutegemea mafanikio kwa kikundi hiki cha MO, try again, Mangungu,na watu wao ni sawa na kusubili meli stand ya magufuli! MO ana uwezo wa kushindana na matajiri wa mpira wakina Yusuph na GSM ni bahiri sana na amezungukwa na watu wenye mawazo ya kizamani!
Wakina try again,Mangungu na kundi lote la friend of Simba wapo toka miaka ya 90's hawana jipya mawazo yao yamepitwa na wakati,hawana wanalojua kwenye modern football!
Kwa sasa wanachokifanya wakina mangungu, try again na bodi yao ni kupigania maslahi yao kwenye majengo ya club ya Simba na kula asilimia za usajili wa wachezaji wao wa michongo wanaoleta hapo msimbazi!
Mwaka juzi tu hapo kwenye jengo la Simba! try again ndio alikuwa anasimamia ukodishaji wa jengo ilo, bila kilemba cha kuanzia millioni kumi mpaka millioni thelathini ulikuwa hupati fremu ya biashara hapo msimbazi!
Kwenye suala la mafanikio Simba wasahau kabisa! Ni kichekesho timu kama Simba kusajili mchezaji aina ya Jobe! Sijui Fred! Wachezaji wa dizaini hio walikuwa wanasajiliwa enzi za rage kipindi Simba haina mwekezaji!
Hata malkia wa nyuki,Mzee Dioniz Malinzi na Kaburu walikuwa wanajitaidi kusajili vizuri kuliko huu utumbo unaofanyika sasa!
Kuna haja gani ya kuwa na mwekezaji!! Si bora tubaki na wakina Kaburu walikuwa wana mipango ya maana! Simba haiwezi kukosa muekezaji wa maana hata MO akiondoka.
Simba si mbovu , shida inapokuja wanapotaka kujilinganisha na perfomance ya Yanga.Ubovu wa Simba unapimwa na nini? Embu tupe data, kapoteza mechi ngapi kwenye ligi, ligi ya mabingwa hali ipoje? Kwanini Simba ni mbovu?
Ahsante Best. Sisi tunakaribia wiki sasa umeme haujakatika sijui ndo wanatuvutia kasi ama ndo tumeagana na mgao.Asante Best ,hongereni yaani huku ndo kwanzaa kumekucha daily wanajikatia watakavyo
hii timu itakuletea maradhi ya moyo brother mshana JrNitasimama na SIMBA yangu daima