Mbna una hasira sana leo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aliowaita Makolo aliona mbali sana ,ni ajabu mtu mzima kutunza kitunkama hiki kwenye simu yako na kupost.
Uje urudie haya maneno keshoUto nyinyi hii ligi hamuiwezi. Hii ligi yetu Simba.
😂😂😂Hata kunipa Pole Dadako?
Na bado kesho unaisubiri tena...
Si tumeambiwa tulie na wanaolia...[emoji3]
Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga sc
View attachment 2822882
Kakojoe ulale bwa mdogo. Unaota hapo.Mechi bado nyeupe kabisa.
Na bado my friend, emu pata 🍟 kidogo hapo upooze machunguNdiyoo
Mechi itaisha draw ya 1 kwa 1.