FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Aliowaita Makolo aliona mbali sana ,ni ajabu mtu mzima kutunza kitunkama hiki kwenye simu yako na kupost.
Mbna una hasira sana leo?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kunywa maji moyo ueleee, afu relaaaaaxxx
 
Tukiwambia utopolo huwa wanategemea ulozi mnashupaza shingo haya nadhani mnajionea wenyewe
F8AO8sxWsAARyNE.jpeg
 
Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga sc
View attachment 2822882

Yanga leo watagaragazwa kama Ihefu ambavyo huwa inawafanyia. Wameshachomekwa mwiko nyuma 2 mpaka sasa na wanaenda mapumziko! Itakapokuja Al Ahly wataonja moto mwingine!
 
Back
Top Bottom