FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Mpaka mmeshusha ticket elfu tano to elfu tatu........

Kesho hata ukiwa na mche wa Sabuni ya Mo unaingia.
Umoja wa Mataifa sisi-Yani mnatolewa kwa hatua ya awali na hakuna kwenda shirikisho kama mwaka jana.
Sisi ni mbinu yetu kushusha ticketi bei, nyie mnauzaga bei chee, tumeshusha lakini zipo juu ya namna Yanga mnavyouzaga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…