FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Sasa vipi mabingwa wa Shirikisho mna la kusema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...
Siku nyingine mjue kutofautisha kati ya Shirikisho na Club bingwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kiboko ya Waarabu, nje ndani.
Leo wanashindwa kuthibitisha hilo.
 
Tulia mwiko ukae vizuri , bado hujasema
Kama ww ulivyo ikalia miko mitano, kuanzia viongozi,wachezaji mpaka mashabiki mmepanic na ticket hamtaki kununua mpaka mmeshushiwa bei au mnajua kesho mnaweza kuikalia miko mingine kutoka Asec.
 
Poleeee wee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani ww ndiye unionee huruma wakati kuamzia viongozi ,mashabiki mpaka wachezaji wote mmpanic. Au unzni matokeo ya leo ndio yatabadilisha hali mliyo nayo huko kwenu.

Kwanza ushanunua ticket na kujipatia jezi mpya au na ww umesusa.
Inapendeza sana kuimba kupokezana leo unalala na maumivu wa mwiko nyuma tokea uingie makundi 1998
 
Yaani ww ndiye unionee huruma wakati kuamzia viongozi ,mashabiki mpaka wachezaji wote mmpanic. Au unzni matokeo ya leo ndio yatabadilisha hali mliyo nayo huko kwenu.

Kwanza ushanunua ticket na kujipatia jezi mpya au na ww umesusa.
Ya kesho yatajisumbukia enyewee.
Leo ni leo, hatuishi kesho tunaishi leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata Argentina mechi ya kwanza makundi alipigwa na Saudi Arabia mwisho wa siku akawa bingwa na huo ndio mwendo wa mabingwa ,hata alipigwa bado Yanga ana nafasi kubwa ya kufanya vizuri katika mashindano haya.
Ndoto za Alinacha
 
Pengo la nani limetuangusha? Diara? Mwamnyeto? Au shida iko wapi?
Wajibu wenye akili timamu tu, vichaa hii sio sehemu yenu.
Hao wenye akili timamu wameshindwa kupanga kikosi ndio wakujibu nini huku mmeshapigwa viwili 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…