FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Kwani wee Robo final CL umewahii? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ndio mwaka huu,we tulia nikifute hiki kichaka chenu cha robo ndicho kilicho bakia,ila ww KWA MUJIBU WA CAF (nazani commentator wa mechi ya fainal ulimsikia) hujawahi kushiriki fainal ya mashindano yoyote ya CAF.
 
Quit kufualitia kila kitu kinachohusu michezo na hakikisha unaweka upenzi wa dhati katika jambo jipya unalotaka kulitumia ili kuacha upenzi wa mpira.Hapa hata ukikutana na watu wanajadili mpira kaa mbali ..Usijindanganye kutaka kufahamu lolot juu ya klabu yako.Vaa miwani ya mbao na dhamiria toka ndani.
Kwakweli nitajitahidi nifanye hivyo maana nahisi nina moyo mdogo I can't withstand pains. Ngoja nijitahid nirudi kwenye muvi zangu japo napo kunamaumivu ila sio kama huku.
Nilikua nafuatilia Series ya TWD ilipofika hii scene niliumwa nikazidiwa kabisa kama vile ni mtu in real life kafarik.
FB_IMG_16284378996413593.jpg
 
Ushabiki pembeni Hata yanga wakifungwa leo,Wanacheza soka zur Sana na ukiangalia unaona kabisa Hii timu Ina kitu flani japo scoreboard haiko upande wao.

Hii mechi yanga anafungwa kwa uzoefu tu.

Kuliwa ni kuliwa tu muraa , hata kama ni kwenye majani
 
Haya kule tulisema kwa maluza huku kiumeni vipi mpaka dakika hii umechezea miko miwili hebu ichomoe tuone
Ila wewe huku si ulilitia aibu taifa kwa kuchoma nyasi za watu South au umeshau.

Wewe sema uwezo hauna Championship unaishia robo Confederation robo, AFL tena robo.
 
Back
Top Bottom