Unafaa kuuguza mgonjwa[emoji41][emoji41][emoji41][emoji23]
Kauli yangu umeielewa lakini, najua magoli yanahitajika kuamua mechi, mie nawasifia yanga kwa mchezo wanaocheza, wanacheza vizuri.
HongeraAll the best Yanga
Atashinda nyingi tu, huenda akapoteza hii tu.Kwenye hili kundi yanga hata shinda mechi hata moja
Rudi usawazishe πππ΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄π΄
Kwa mpira waliocheza Yanga wataleta maneno tu ila Mungu alitupa wanadamu dhamiri. Hii inasema ukweli kila siku. Dhamiri zao zunawasuta ila kwa nje watawacheka.Tutakoma leo wanasimba mna maneno nyieππ
Pepoo mpwaa lileKiukweli Uyu kipa yanga mmepigwa,
Hajui kuzungumza Wala kuzipanga beki zake, Yupo Yupo TU Kama ushahid golini