Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafaa kuuguza mgonjwa[emoji41][emoji41][emoji41][emoji23]
Kauli yangu umeielewa lakini, najua magoli yanahitajika kuamua mechi, mie nawasifia yanga kwa mchezo wanaocheza, wanacheza vizuri.
HongeraAll the best Yanga
Atashinda nyingi tu, huenda akapoteza hii tu.Kwenye hili kundi yanga hata shinda mechi hata moja
Rudi usawazishe 😁😁🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴🚴
Kwa mpira waliocheza Yanga wataleta maneno tu ila Mungu alitupa wanadamu dhamiri. Hii inasema ukweli kila siku. Dhamiri zao zunawasuta ila kwa nje watawacheka.Tutakoma leo wanasimba mna maneno nyie😀😀
Pepoo mpwaa lileKiukweli Uyu kipa yanga mmepigwa,
Hajui kuzungumza Wala kuzipanga beki zake, Yupo Yupo TU Kama ushahid golini