matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Du!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka unatoka kwenye mashindano Taji kitakuwa hili hili "pira biliani trophy"[emoji23]
Mimi sio mtu mzima ndugu yangu mimi ni kijana 22yrsAliowaita Makolo aliona mbali sana ,ni ajabu mtu mzima kutunza kitunkama hiki kwenye simu yako na kupost.
kulalamika kupo ila haiondoi ukweli tuko vzrLakini tunawaona mnavyo lalamika kuwa mmefungwa goli la kizembe
Wameingia cha kike ewaaaaaaaaaaTUMEYATIMBA
walijua wangetoa Droo...Kwa hiyo hii mechi kwao sio muhimu?
Aisee
Hahaaaaaa. Kufunguka ugenini ni hatari sana. Hii ni game approach mbaya aliyokuja nayo Gamond leo. Hajaonesha kuiheshimu hii away game kama alivyoanza kwa kuiheshimu simba siku ile kwenye Derby.Goooooooaaaaaaaaaaooooooaaangoooolaaaboto
View attachment 2823831
Nenda kalale tu mkuu 😂😂TUMEYATIMBA