cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti wao level za Mamelodi eti wao level za Wydad aiiiii hahahha yaani mpaka wasemeeeee hahahaha nasikia lahaaaaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti wao level za Mamelodi eti wao level za Wydad aiiiii hahahha yaani mpaka wasemeeeee hahahaha nasikia lahaaaaaaa
Biscuit iliyolowekwaUkuta wa Yanga
Dah[emoji15][emoji15] ila yanarudi yote
Au sio!! Labda Aachie matekaMwarabu kipindi cha pili anaachia
hii ni namna bora ya kujifarijiZile offside za juzi zilizofanya Simba akafungwa leo kibendera haziruhusu.
😂😂😂😂Cr Belarouzidad 2-0 Yanga
View attachment 2823836
Aah sisi kwa ule mkosi wetu maana sio kikosi ni mkosi najua hatuna letu jambo mwaka huu. Kazi kwenu nyinyi timu la bei mbaya. Nakuambia makundi hamvuki.Uje urudie haya maneno kesho
Karoho kanauma basi hapo wanasimba mnachekeleaa sana, ila tunarudisha😀Na bado my friend, emu pata 🍟 kidogo hapo upooze machungu
Utayarudisha wewe 😂 😂Dah😳😳 ila yanarudi yote
Leo utopolo wamekuwa wapolee😁😁😁Kuna watu siwaoni hapa.[emoji1]
🤭Dah😳😳 ila yanarudi yote
Mwenzake yuko jukwaani anamcheka tuOkoa jahazi
Watakuja kipindi cha pili watajaaKuna watu siwaoni hapa.[emoji1]