zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 11,432
- 24,596
mkuu kumbe ulikumbwa na huu uchambuzi wa kipumbavu hahahahahaUthibitisho wa picha: Yanga ilifunga goli moja la halali kwenye mchezo dhidi ya Simba jana
Huu ndio uhalisia wa magoli ya jana. Goli la kwanza la Yanga na lile la Simba yalikuwa halali. Mengine unaweza kuangalia picha hapa chini. Goli la pili: Faulo ilifanyika na wachezaji wawili wa Simba waliangushwa na kukanyagwa. Goli la tatu: Mzize alikuwa eneo la kuotea wakati anapokea...www.jamiiforums.com