FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

Pengo la nani limetuangusha? Diara? Mwamnyeto? Au shida iko wapi?
Wajibu wenye akili timamu tu, vichaa hii sio sehemu yenu.
Kwangu mimi naona ni Diara.
Anajua kupangilia mabeki wake kwa kusema nao mara kwa mara kwa kuwakunbusha majukumu yao. Mara nyingi huwa anawafokea mabeki wake
Na pia mipira ya chini angejitahidi kwa kucheza hata kwa na miguu au kufanya timing nzuri ili kuokoa.
 
Back
Top Bottom