cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Wanacheza nn hapo? Mbna mie sioni?[emoji23]
Kauli yangu umeielewa lakini, najua magoli yanahitajika kuamua mechi, mie nawasifia yanga kwa mchezo wanaocheza, wanacheza vizuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]