FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

1700859658630.png
 
Alafu inaonekana hawa jamaa walikuwa hawajaamua kufunguka kufunga baada ya kuona adui anajuhudi kubwa lakini hazina mipangilio na malengo.
 
Poleni sana watani. Hiyo ndiyo soka. Kuna wakati huwa inakuwa na matokeo ya kikatili sana. Mnajitahidi kutandaza kabumbu safi lakini mwisho wa siku mnaishia kufungwa.....
 
Mwananchi asipoangalia anaweza akaondoka na point 2 tu kwenye hili kundi lake
Wanaweza wakapiga ile timu ya Ghana nje ndani,...ila sidhani kama wataweza kuwafunga waarabu wote Dar labda sana sana draw au kupigwa,na waarabu pia watawapiga Wa-Ghana. Uwezekano wa Yanga kwenda robo fainali ni mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom