SikubalianiJuzi nilikua na AL Nasri akaishia kuni disappoint... Jana nipo na Borussia Dortmund na yeye pia kapigwa...
Leo nimerudi nyumbani. Kila la kheri wananchi
Hawa bado watoto tunawamuduSikubaliani
Subiri napo mlambishwe ice cream
Game ni leoHatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye dimba la New Amaan Complex, Zanzibar
Je, nini kitatokea katika mtanange huo wa kukata na shoka?
Kuwa nami hapa kuanzia Mwanzo, Katikati na Mwisho wa mechi hii
#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikisho #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #TFF #AzamFC #YangaSC #AzamvsYanga
Sheikh uliwahi sana kuupost huu uzi.Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye dimba la New Amaan Complex, Zanzibar
Je, nini kitatokea katika mtanange huo wa kukata na shoka?
Kuwa nami hapa kuanzia Mwanzo, Katikati na Mwisho wa mechi hii
#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikisho #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #TFF #AzamFC #YangaSC #AzamvsYanga
Guede π₯Wazee wa kupeleka Motooo..!πππ₯π€Έ
Kila la kheri YangaSc ππHatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye dimba la New Amaan Complex, Zanzibar
Je, nini kitatokea katika mtanange huo wa kukata na shoka?
Kuwa nami hapa kuanzia Mwanzo, Katikati na Mwisho wa mechi hii
#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikisho #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #TFF #AzamFC #YangaSC #AzamvsYanga
kumbe nawe umekuwa shabiki haya karibu tukawalaze walamba ice cream...πππππππππππππ
Sio nimekuwa, mi ni shabiki wa Yanga toka nikiwa na umri mdogo sanaakumbe nawe umekuwa shabiki haya karibu tukawalaze walamba ice cream...
sawa karibu mwenyeji... niambie leo tumfanye nini huyu domomundu...??Sio nimekuwa, mi ni shabiki wa Yanga toka nikiwa na umri mdogo sanaa
Tumkalishe mapema sanaa ili yule mtoto aendelee kutesekasawa karibu mwenyeji... niambie leo tumfanye nini huyu domomundu...??
yule sio mtoto yule ni peremende...πTumkalishe mapema sanaa ili yule mtoto aendelee kuteseka