Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Saa tatu tukutane kule "kihasibu"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
All the best timu kubwa💚💚💚Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB
Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye dimba la New Amaan Complex, Zanzibar
Je, nini kitatokea katika mtanange huo wa kukata na shoka?
Kuwa nami hapa kuanzia Mwanzo, Katikati na Mwisho wa mechi hii
#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikisho #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #TFF #AzamFC #YangaSC #AzamvsYanga
🤣🤣🤣jmnSaa tatu tukutane kule "kihasibu"
Ball saa 2Saa tatu tukutane kule "kihasibu"
Saa tatu tunafanya tathmini kihasibuBall saa 2
𝐌𝐚𝐭𝐨𝐤𝐞𝐨 𝐛𝐚𝐝𝐨 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐦𝐞𝐜𝐡𝐢 𝐡𝐚𝐢𝐣𝐚𝐚𝐧𝐳𝐚matokeo?
𝐒𝐚𝐚 2:15 𝐮𝐬𝐢𝐤𝐮Muda gani tafadhali
𝐇𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚𝐡𝐚Saa tatu tukutane kule "kihasibu"
wahuni sio watuSaa tatu tunafanya tathmini kihasibu
Azam hawawezi onyesha hili kombe la mbuzi tuChannel ipi ya Azam wanaonesha?
AZAM SPORTS 1 HDChannel ipi ya Azam wanaonesha?
Asante𝐒𝐚𝐚 2:15 𝐮𝐬𝐢𝐤𝐮
Poa mkuuAsante