FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

Msimamo wa Mataji msimu huu wa 2023/24 hadi sasa uko hivi:
1) Simba Mataji 2
2) Utopolo Taji 1,
3) Mlandege Taji 1
4) Wengine wote 0
Kuna timu ina taji 0 na mwingine taji 1 wanacheza kombe la wanaume huku timu yenye mataji 2 inaenda kucheza kombe la Luza
 
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB

Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye dimba la New Amaan Complex, Zanzibar

Je, nini kitatokea katika mtanange huo wa kukata na shoka?

Kuwa nami hapa kuanzia Mwanzo, Katikati na Mwisho wa mechi hii

#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikisho #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #TFF #AzamFC #YangaSC #AzamvsYanga

----------------------------------------------------------
Updates 1920 Hours

Kikosi cha Yanga: Diara, Yao, Lomalisa, Bacca, Job (C), Aucho, Maxi, Mudathir, Mzize, Aziz Ki na Pacome

Subs: Mshery, Mwamnyeto, Kibabage, Mkude, Sureboy, Shekhan, Farid, Guede, Musonda...

Kocha : Gamondi Miguel

Kikosi cha Azam: Mohamed, Lusajo (C), Msindo, Fuentes, Bangala, Bin Zayd, Adolf, Sopu, Kipre Jr, Feitoto, Syllah

Subs: Foba, Chilambo, Amoah, Manyama, Akaminko, Sidibe, Nado, Chiwalanga, Kichindo

Kocha : Bruno Ferry
Ujanja tu wa kutafuta pesa.Mmeona NBC imewazidi.
Mtapata pesa za vilaza sio mimi.
 
Kila la kheri timu ya wananchi.
Tunahitaji heshima pamoja na kombe.
 
Azam piga hao utopolo
 
Back
Top Bottom