FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

Ndani ya siku hizi mbili Yellow nation tumekuwa na wakati mgumu sana Jana Al Nasr kapigwa na Mda si mrefu Dortmund kapigwa Sasa ni Yanga pekee kwenye Yellow nation duniani aliebaki kuokoa jahazi
Mamelodi sundowns nae kapigwa na Orlando pirates juzi kwenye kombe la FA south Africa so jiandaeni vizuri
 
Ndani ya siku hizi mbili Yellow nation tumekuwa na wakati mgumu sana Jana Al Nasr kapigwa na Mda si mrefu Dortmund kapigwa Sasa ni Yanga pekee kwenye Yellow nation duniani aliebaki kuokoa jahazi
Umesahau Mamelody Jana?
 
Ndani ya siku hizi mbili Yellow nation tumekuwa na wakati mgumu sana Jana Al Nasr kapigwa na Mda si mrefu Dortmund kapigwa Sasa ni Yanga pekee kwenye Yellow nation duniani aliebaki kuokoa jahazi
Na mamelodi kapigwa pia jana
 
Na mamelodi kapigwa pia jana
Nimepoteza Imani sana maombi yangu kwa Sasa ni Guede na Mzize waanze pale mbele na nafasi hata Moja isipotezwe game ikiwa inaanza Azam huwa hawako makini 0-2 inatosha
 
Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB

Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye dimba la New Amaan Complex, Zanzibar

Je, nini kitatokea katika mtanange huo wa kukata na shoka?

Kuwa nami hapa kuanzia Mwanzo, Katikati na Mwisho wa mechi hii

#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikisho #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #TFF #AzamFC #YangaSC #AzamvsYanga
Azam anakufa 3-0
 
Azam atashinda hata asiposhinda kombe lenyewe ni la mbuzi tu hilo.
 
All the Best Yanga
IMG20240602181009.jpg

IMG20240602181004.jpg
 
Back
Top Bottom