FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

Hatimae ile siku tuliyokuwa tukiisubiria imefika, ni bonge la mechi kati ya Azam na Yanga katika fainali ya kombe la shirikisho la CRDB

Mechi hii itachezwa majira ya saa 2:15 usiku pale kwenye dimba la New Amaan Complex, Zanzibar

Je, nini kitatokea katika mtanange huo wa kukata na shoka?

Kuwa nami hapa kuanzia Mwanzo, Katikati na Mwisho wa mechi hii

#CRDBBankFederationCup #KombeLaShirikisho #KombeLaShirikishoLaCRDBBank #TFF #AzamFC #YangaSC #AzamvsYanga
All the best timu kubwa💚💚💚
 
Kikosi cha Yanga kinachoanza leo dhidi ya Azam
Screenshot_2024-06-02-19-22-47-020_com.twitter.android.jpg
 
Msimamo wa Mataji msimu huu wa 2023/24 hadi sasa uko hivi:
1) Simba Mataji 2
2) Utopolo Taji 1,
3) Mlandege Taji 1
4) Wengine wote 0
 
Back
Top Bottom