TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Hakuna muda mbaya kama pale 'toto' alivyofunga na kuashiria dharau kwa Wananchi!! Niliinama na kusema " 'toto' " anawatafuta ni Wananchi??Nimekuja kushangilia baada ya kutoka sasa watu wameshamaliza
Nashangaza miaka 27....unaendelezaje u'toto'!!!Halafu anaoneka siyo muungwana.
Kaomba mwenyewe kuondoka. Kuna uwezekano anaenda uarabuni.Mwenyewe nashangaa
Lomalisa sio mtu wa kumuachia
Halafu itokee beki watakaemchukua awe floppy
Iki kitoto kinaleta ubishoo..
Huyo ndio kawaponza wenzieIki kitoto kinaleta ubishoo..
sijui ana nini anashindwa hata kujifunza kwa waliomtangulia.Dogo anatakiwa apewe ushauri nasaha kama ana ndoto za kuwa mchezaji mkubwa. Ila kama akili yake inawaza taarab na vijembe, basi aendelew tu na huo upuuzi wake.
Kunichiwaaa....Nikiwa Tokyo Japan...
Amchawaaa 😆 😆 😆Kunichiwaaa....
NMB inadhamini hadi jeshini[emoji16]Jinga sana wewe...
Umeolewa mtani?Ahahahaaaaa mna mambooo...yani mmejaa vyura kila kona..hatuna pa kukanyaga..
Vipi yani uliza vzr mtani...Umeolewa mtani?
Hilo tako la ki Amapiano...hahahahhahahahaNMB inadhamini hadi jeshini[emoji16]View attachment 3008729
TawireTuendelee ku comment kwenye huu Uzi hadi tunapokuja kwenye season nyingine ili iwe ndio kama Asante kwa team kwa utulivu wa hali ya juu hata baada ya kukosa penalty mbili za mwanzo
Ile game kwangu Diara alipaswa kuwa man of the match Ile calmness yake hata baada ya penalty mbili kukosekana utulivu baada ya "man of the match"kupaisha mbali na bado akaweza ku predict Lusajo anapiga wapi that was glorious
Pamoja sana hapa ni kupiga soga mbalimbali ili huu Uzi uwe hai hadi tutapokutana tena 2024/25Tawire