FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

FT: CRDB Bank Federation Cup 23/24 FINAL: Dak. 120 | Azam FC 0-0 Yanga SC | Pnt (5-6): New Amaan Complex 2/6/2024. Yanga abeba ubingwa

Kwa Mpira mbovu Wanaoucheza Utopolo.... Ilitakiwa Azam awe mbele Si Chini ya Magoli 2....... Daaaaaadeki
 
Nilishakata tamaa kitambo Sana kuhusu timu yangu hii pendwa..

Viongozi wanaojua kabumbu hatuna,wamejaa wafanyabiashara watupu pale..Anza try again,njoo mangungu,Moo na kale ka CEO kanachojua mambo ya masoko.
Tulia boss, kuwa na imani.
 
Nilishakata tamaa kitambo Sana kuhusu timu yangu hii pendwa..

Viongozi wanaojua kabumbu hatuna,wamejaa wafanyabiashara watupu pale..Anza try again,njoo mangungu,Moo na kale ka CEO kanachojua mambo ya masoko.
Kwa HIO unaonaje au mshamuuzia MO kimya kimya kimoja Simba ya MO Dewji?
 
Umesahau siku ile ya zile 5 aka kono la nyani mpaka halftime ilikuwa 1-1?
Mechi ni Azam na Yanga. Ni HT. Ngoja tuone Sec half. Jitahidi usiwe na kiherehere cha mechi zisizohusika.
 
Inakuwaje hapo mbele kwa makamisaa mnaweka viti kama vya bar!!??

kweli bongo ni bongo tu
Screenshot_2024-06-02-21-09-02-18_99c04817c0de5652397fc8b56c3b3817.jpg
 
Back
Top Bottom