Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanga kama Madrid tu dakika ya 70 tunaweka chumaYanga wafunge turelax
Likewise Fei TotoKadi ya njano anaonyeshwa Dickson Job
Tulia boss, kuwa na imani.Nilishakata tamaa kitambo Sana kuhusu timu yangu hii pendwa..
Viongozi wanaojua kabumbu hatuna,wamejaa wafanyabiashara watupu pale..Anza try again,njoo mangungu,Moo na kale ka CEO kanachojua mambo ya masoko.
Kwa HIO unaonaje au mshamuuzia MO kimya kimya kimoja Simba ya MO Dewji?Nilishakata tamaa kitambo Sana kuhusu timu yangu hii pendwa..
Viongozi wanaojua kabumbu hatuna,wamejaa wafanyabiashara watupu pale..Anza try again,njoo mangungu,Moo na kale ka CEO kanachojua mambo ya masoko.
Leo mnafungwaaaaWazee wa kupeleka Motooo..!💚💛🔥🤸
Umesahau siku ile ya zile 5 aka kono la nyani mpaka halftime ilikuwa 1-1?Mpaka sasa Dk ni ya 44 matokeo ni 0-0.
RelaxYanga wafunge turelax
Ingia weweKwa Mpira mbovu Wanaoucheza Utopolo.... Ilitakiwa Azam awe mbele Si Chini ya Magoli 2....... Daaaaaadeki
Tulia sio AcksonUmesahau siku ile ya zile 5 aka kono la nyani mpaka halftime ilikuwa 1-1?
Mechi ni Azam na Yanga. Ni HT. Ngoja tuone Sec half. Jitahidi usiwe na kiherehere cha mechi zisizohusika.Umesahau siku ile ya zile 5 aka kono la nyani mpaka halftime ilikuwa 1-1?
Mkuu andika kwa vidole vya mikono Ili uandike barabara..Kwa HIO unaonaje au mshamuuzia MO kimya kimya kimoja Simba ya MO Dewji?
Ulishindwa wewe ndio ataweza Azam?Kwa Mpira mbovu Wanaoucheza Utopolo.... Ilitakiwa Azam awe mbele Si Chini ya Magoli 2....... Daaaaaadeki
Kipindi cha pili tunakuja kuwashangazaLikewise Fei Toto
Inakuwaje hapo mbele kwa makamisaa mnaweka viti kama vya bar!!??
kweli bongo ni bongo tu
Naandika kwa vidole Vipi kwani? MAKOLO wizard FCMkuu andika kwa vidole vya mikono Ili uandike barabara..
TunawanyoaHT
AZM 0 YNG 0