kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,192
- 5,685
KIHASIBUWapo kolo waliosema usajili wa key ililikuwa hasara na walitaja 400mln🤣
hahahahaa kuna watu wana midomo, ngoja nikaufufue ule uzi kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KIHASIBUWapo kolo waliosema usajili wa key ililikuwa hasara na walitaja 400mln🤣
uhuni mtupuBacca Mchezaji bora wa mechi
Kaonyeshauhuni mtupu
Kajinga sana hako katoto ndio maana kila kitu kanakosaKitendo cha Feisal kuonesha ile ishara baada ya kufunga ile penati, nikapata moyo na imani kuwa Feisal ataadhibiwa kwa ishara aliyoitoa kwa mashabiki wa Yanga. Hivyo sikuwa tena na wasiwasi kama nilivyokuwa mwanzoni kabla ya penati ya Fei toto
😘😘Fanya ulale mkwe
Ila Kazingua kwenye penati, hiyo Hela ampe kidogo Idd NadoBacca Mchezaji bora wa mechi
Kwani kolo wapo kwa wapi vileðŸ«HATIMAYE
YANGA NI MABINGWA WA CRDB FEDERATION CUP 23/24
FULL TIME AFTER EXTRA TIME
AZAM 5 - YANGA 6
hapana hii ni daylight robbery, kipa wa azam alistahili kupataKaonyesha
Wewe ulilochukua kwa urahisi ni lipi.Kwa taaabu sana
Shida haziongezeki peke yake, mpk zije na tumbo ndiyo zinaridhika. HahaaLala ukue tunyama tuongezeke. Have a nice sleep
Yule kipa anadaka aseee hata mimi nakubaliMan of the match ni kipa wa Azam tusidanganyane hapa
kabisa hapa wameleta uhuni tuu hawa watu.Man of the match ni kipa wa Azam tusidanganyane hapa
Tayari lawama zimeanza 😀 😀Game zote ambazo Fei anawatukana mashabiki huwa wanapoteza
Jogoo wa shamba hawiki mjini, hiyo ndiyo inawafaanaona hii methali ya ng'ombe wa maskini hazai doesnt apply anymore. maana hawa ni ng'ombe wa tajiri lakini wapi
lakini hawa mbona wao ni maborn town bwanaJogoo wa shamba hawiki mjini, hiyo ndiyo inawafaa