Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Amekuja BokaSijui Yanga wanatoa wapi kiburi cha kumuacha Lomalisa mchezaji kama yule wanamuacha?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amekuja BokaSijui Yanga wanatoa wapi kiburi cha kumuacha Lomalisa mchezaji kama yule wanamuacha?
Gamondi hataki Winger asiliLeo nimeona tumepokea hadharani zaidi ya ml 500 za sport pesa kwa ajili ya kuboresha kikosi natamani tupate tena winger kama ya Moloko na ili Guede afunge zaidi maana anaonekana anafaa zaidi kwenye mfumo wa wide winger
Boka inMwenyewe nashangaa
Lomalisa sio mtu wa kumuachia
Halafu itokee beki watakaemchukua awe floppy