Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Asanteni Sana Simba, tunawaombea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha yakoSafari yenu imeishia hapa. Hamtoboi makundi
Ni suala la mda t ww subir 😁Hii midfield ya Kagoma na Ngoma ndio inayoleta maisha nyuma yao kina Che Mallone na Hamza sio mabeki wa uhakika.
Kwanini mkuuMechi ya leo haina mvuto
Kashavuta hewa ya madawaKumekucha na sisi wakaanga sumu ndio tunatia timu hapa.
Naona Zimbwe ana hofu kwelikweli, anavuta pumzi ndefu kila wakati!
Tuko nyuma yako tunakusaidia kutoa mwiko, basi ngoja tuuache turudi jukwaaniMakolo mbon mumekimbia uzi wenu au mnasubiri mufunge goal ndo mjitokeze? [emoji1787]