Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
MmmmmghMechi ya leo haina mvuto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmmmghMechi ya leo haina mvuto
Kumbe walikuwa serious na slogan yao ya gusa, dondoka, tupate penati...Simba wamenyimwa penati
Mpumbavu sana na alikua pale paleUyuu refa falaa..penati ya wazi mtu kanawaa kabisa
Utadhani ni mpira wa kwenye PS3Mmmmmgh
Yani kaublock kabisa...wasiwaziUyuu refa falaa..penati ya wazi mtu kanawaa kabisa
Mcheza kwao ubebwa .wakati wenu ulipitaPenalty ya wazi hii...
Poleni
Mjinha sana ma.mae zakeKumbe hii mechi Hata mikono Inaruhusiwa kuzuia Mpira
Duh!...Kila nkijaribu kuwaombea heri Simba moyo unakuwa mzito.