FT: CS Sfaxien FC 0-1 Simba SC | CAF CC | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 05.01.2025

FT: CS Sfaxien FC 0-1 Simba SC | CAF CC | Stade Olympique Hammadi Agrebi | 05.01.2025

Dakika 76'

C S Sfaxine 0 - 1 Simba SC (Ahoua 34')

Barakat wa CS Sfaxine na Kapombe wapo chini wanauguza maumivu baada ya kugongana..

Simba wanafanya Sub kwa mara ya kwanza , Debora Fernández anaingia huku Elli Mpanzu anaenda benchi
 
Huku kweli ni shirikisho yaani washikishwaji tu ila wenye shughuli wako klabu bigwa.
 
Back
Top Bottom