Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Tutakudunda aisee 😀😀Dakika ya 81.
Mida ya Simba kupigwa magoli ndiyo hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakudunda aisee 😀😀Dakika ya 81.
Mida ya Simba kupigwa magoli ndiyo hii.
KabisaahTutakudunda aisee 😀😀
Wote wamekutana pipa na mfunikoIla hii timu ya waarabu ni mbovu jamani, Tuseme ukweli!!
Tumekaa roho juu km tunakula tambi 😀Kabisaah
Sasa mbona Kibu anapata nafasi hazitumii vema? Mpanzu anampa mipira mizuri lkn Kibu anapoteza fursa.Tutakudunda aisee 😀😀
Kaka presha imepanda😀Simba shindeni hii mechi, Hali SI shwari
Jicho lina kuuma!!!??? Toa mwiko huo.Robo fainali kwa Mnyama Simba inaaanza kuonekana kwa ukaribu kabisa. Kila la heri
Chumaaaa Cs faxien wanapata bao ⚽️
Kama Tabora au?Simba bado inahitaji kuwa bora zaidi
Sio mbovu,ukishazidiwa ufundi na timu pinzani lazima uonekane mmbovu...Wote wamekutana pipa na mfuniko
Amemtoa Kibu akaingiza nani vile??Huyu kocha sub zake zinafikirisha sana
Kwa simba hii ya kibao kimoja lazima ushikirie rohoTumekaa roho juu km tunakula tambi 😀