Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Mwenye msimamo kwenye group la Simba atupostie wengine hatujui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaMpira umeisha
Leo siku mbaya kwa mipira ya kona, ila simba ndiyo timu inaongoza kupiga goal nyingi za kona na foul.Simba hawana mazoezi ya konaa waongeze training...
Tupo duni Sana kwenye konaa tupo dunii sanaaa
WeraaaaaaaaHuku Kileleni na Kule Kileleni
Hata mm nilikuwa nashangas😃Ndo najiuliza za nn🤣🤣
Nafuraha sanaaa..Hahahaha wanataka kurusha ngumi hapa
Wana record nzuri kwakwel lakini sasa soccer ina evolve every year, competition in ongezeka every year, team ikishindwa ku adopt ndio wanakutana na matokeo kama hayaThree time champion of the confederation cup. Nadhani nyote mmesikia hiyo.
Umenikumbusha game ya Morocco na Portugal World Cup, ile sikuuu 😅Simba shindeni hii mechi, Hali SI shwari
😆 Warudi mashimoniNyie panya buku muanze kuleft wenyewe...
Zitakuwa za moto sana now brother. Wekea barafu kidogo😁😁Sasa naweza kuachia pumbu zilizoshika dk 90
Ni shangwe kwetuuuLeo siku mbaya kwa mipira ya kona, ila simba ndiyo timu inaongoza kupiga goal nyingi za kona na foul.
🤣🤣🤣Goooooooooolllllllllllllll
Dakika ya 90+5 Dubeeeeee anasawazisha
1-1