FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

FT: Dodoma 0 - 1 Simba | NBC PL | Jamhuri Stadium | 17/05/2024

Nimeshasema nawajambisha utopolo wanaofuatilia mechi za Simba.
By the way, huu msimamo wa Ligi umeutoa kwenye website ya TFF?
Kama bado unauliza swali kama msimamo nimeutolea wapi, maanake hakuna ulichokuwa unakijua kwenye hilo ndio maana umetilia mashaka nilipoutolea huo msimamo. Akili yako inafikiria ya TFF itakuwa tofauti na hii. Bado una mentality ya head to head pole sana, hakuna head to head. Haya ya TFF hii hapa angalia.
IMG_20240517_175829.jpg
 
Ni mwendo wa magoli ya Offside sisi Nguruwe FC mpaka tukamate nafasi ya pili
 
Ni mwendo wa magoli ya Offside sisi Nguruwe FC mpaka tukamate nafasi ya pili
Tunakoelekea magonjwa yasiyoambukizwa yatawapata wengi. Yaani shabiki timu yake imebeba ubingwa lakini bado anaumia na matokeo ya mechi nyingine, hadi anayanunulia bando ! 🤣 🤣 🤣
 
Tunakoelekea magonjwa yasiyoambukizwa yatawapata wengi. Yaani shabiki timu yake imebeba ubingwa lakini bado anaumia na matokeo ya mechi nyingine, hadi anayanunulia bando ! 🤣 🤣 🤣
Tuwekee msimamo wa ligi ikionesha Simba yupo juu ya Azam kwa head to head au hujajua kama mpaka sasa Simba na Azam wanalingana point?
 
Back
Top Bottom