Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
- Thread starter
-
- #201
Naunga mkono hojaEvelyn Salt naomba umtumie kaka yetu
Eeh Mungu!Maxence Melo kwani ni nini bro, jlw halipo hata koneksheni unapiga pini.....unataka tufe kwa nyege bro π₯Ήπ₯Ή
Nilikuwa na kipindi cha kufundisha jana jioni so nilipomaliza kipindi na mechi ilikuwa imemalizikaMbona jana sijakuona hapa kaka
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Max nimekuelewa, basi sawa.....Eeh Mungu!
πππUmetisha wifi koo litakuwa limekuuma sana ππππ
Huko kumoka ππππππ
Nipo hapa nalipooza na vitu baridi, ila lakini wadada wa kaskazini kwanini ni mapierre hivi..??
πππHuko kumoka πππ
Utaunguza mayai sasa nishindwe kuitwa aunt
Kunywa laini basi wii ππππππ
Mungu aniepushe na hicho kikombe walaqhi'..!!π€
πππKunywa laini basi wii πππ
Hizo hazina shida zinachangia kutoa aibu ya kutafuta watoto ππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπππ
Ahsante kwa ushauri wifi yangu, laini ndiyo zangu hizo..!!
Na hilo jitu linajinoaTunasubiri kupiga jitu tarehe 20.
Dah... Ubarikiwe Sana mkuu Kwa hili shairi umenikumbusha mbali sanaSIZITAKI MBICHI HIZI
Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia,
Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea,
Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Njaa aliposikia, Sungura nakuambia
Siku ile akaenda, Porini kutembelea,
Akayaona matunda, mtini yameenea,
Sungura akayapenda, mtini akasogea,
Mtini akasogea, Sungura nakuambia.
Sungura karukaruka, lakini hakufikia,
Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,
Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,
Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.
Mtazame hapo juu Sungura amelegea,
Mtazame na miguu, matunda anarukia,
Atafanya sikukuu, matunda akifikia,
Matunda akifikia, Sungura nakuambia.
Karuka tena karuka, matunda akarukia,
Mwisho Wave akachoka, kachoka hata mk-Ia,
Penye mti akatoka, pembeni akasogea,
Pembeni akasogea, Subgura nakuambia.
βSizitaki mbichi hiziβ Sungura akagumia,
βNaona nafanya kazi, bila faida kujuaβ,
Yakamtoka machozi matunda akalilia,
Matunda akalilia, Sungura nakuambia.
Sio kama hakutaka, sasa nakupasulia,
Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia
Tunajua hakufika, alichoka kurukia,
Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.
Hadithi nimemaliza, nimekwisha simulia,
Jambo moja sikiliza, rafiki yangu sikta,
Usikose kujikaza, mazuri kukazania,
Utamshinda Sungura, utapata mbivu hizi.
Dah... Ubarikiwe Sana mkuu Kwa hili shairi umenikumbusha mbali sana