Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maxence Melo kwani ni nini bro, jlw halipo hata koneksheni unapiga pini.....unataka tufe kwa nyege bro 🥹🥹Max kazuia video haijii🤣
Tokea muda ule nasumbuka kukutumia
Ishiiiiiii! Wewe mbaba wa watu usikute kalala akutane na hii comment😂Maxence Melo kwani ni nini bro, jlw halipo hata koneksheni unapiga pini.....unataka tufe kwa nyege bro 🥹🥹
Akini ban namfata ofisini.....tuyamalize kikubwa 😏😏Ishiiiiiii! Wewe mbaba wa watu usikute kalala akutane na hii comment😂
Ban inakuhusu
Msipige keleleeeeeeWatoto wadooogoo!!
Pole wifi,Wifi hii mechi imenipita
Sawa kaka 😁🤣Mnapigwa kimoko
Walipewa ofa na Simba ili wajulikane, Simba hawakuwa na mpango wa hilo ndondo cupMuda kama huu mashujaa washampiga mtu penati sita
Kuna JAMAA walisema Watu wenye BICHWA KA LA MZIZE HAWANAGA AKILI...🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐔𝐏🔰
🏆 #CRDBFederationCup
⚽️ Dodoma Jiji🆚Young Africans SC
📆 10.04.2024
🏟 Jamhuri, Dodoma
🕖 2:00 Usiku
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 2959314
Kikosi kinachoanza dhidi ya Dodoma Jiji FC #CRDBFederationCup #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 2959922
mpira umeanza
dakika 3 goallllllllll dodoma jiji fc wamejifungaa
dakika ya 8
yanga sc 1 - 0 dodoma jiji fc
Hao jamaa ndio waleee wa timu wenye timu iliyo pigwa 5 hawapo sawa vichwani kaka 😂😂😂😁Kuna JAMAA walisema Watu wenye BICHWA KA LA MZIZE HAWANAGA AKILI...
Kutokana na zile kosa kosa zake kwenye big MATCH..
TODAY MZIZE KAKUNJA 500K YA MAN OF THE MATCH..
Walipewa ofa na Simba ili wajulikane, Simba hawakuwa na mpango wa hilo ndondo cup
Huo ni wimbo tu wa kutungwa kama ule wa John Komba wa CCM mbele kwa mbele na nambari wani ni ccm.SIZITAKI MBICHI HIZI
Hadithi inayokuja, ni ya Sungura sikia,
Hadithi uliyongoja, leo ninakuletea,
Alitoka siku moja, njaa aliposikia,
Njaa aliposikia, Sungura nakuambia
Siku ile akaenda, Porini kutembelea,
Akayaona matunda, mtini yameenea,
Sungura akayapenda, mtini akasogea,
Mtini akasogea, Sungura nakuambia.
Sungura karukaruka, lakini hakufikia,
Matunda hakuyashika, mikononi hakutia,
Hakika alisumbuka, nguvuze zikapungua,
Nguvuze zikapungua Sungura nakuambia.
Mtazame hapo juu Sungura amelegea,
Mtazame na miguu, matunda anarukia,
Atafanya sikukuu, matunda akifikia,
Matunda akifikia, Sungura nakuambia.
Karuka tena karuka, matunda akarukia,
Mwisho Wave akachoka, kachoka hata mk-Ia,
Penye mti akatoka, pembeni akasogea,
Pembeni akasogea, Subgura nakuambia.
“Sizitaki mbichi hizi” Sungura akagumia,
“Naona nafanya kazi, bila faida kujua”,
Yakamtoka machozi matunda akalilia,
Matunda akalilia, Sungura nakuambia.
Sio kama hakutaka, sasa nakupasulia,
Matunda aliyataka, ndiyo kisa akalia
Tunajua hakufika, alichoka kurukia,
Alichoka kurukia, Sungura nakuambia.
Hadithi nimemaliza, nimekwisha simulia,
Jambo moja sikiliza, rafiki yangu sikta,
Usikose kujikaza, mazuri kukazania,
Utamshinda Sungura, utapata mbivu hizi.
We jamaaa jana ulikimbia 😂🤣😁😁Huo ni wimbo tu wa kutungwa kama ule wa John Komba wa CCM mbele kwa mbele na nambari wani ni ccm.
Ni burudani tu wala hazina maana 😁
Oyaaa nitumie na Mimi mdogo wanguMax kazuia video haijii🤣
Tokea muda ule nasumbuka kukutumia
Sijawahi kukimbia mechi mkuuWe jamaaa jana ulikimbia 😂🤣😁😁
Mbona jana sijakuona hapa kakaSijawahi kukimbia mechi mkuu
Hata kama ipo Ina dakika chache nitumie pmHAmna maajabu hata
Evelyn Salt naomba umtumie kaka yetuHata kama ipo Ina dakika chache nitumie pm
Umetisha wifi koo litakuwa limekuuma sana 😂😂😂😂Pole wifi,
Ndiyo natoka uwanjani hapa kichwa kinaniuma, maana si kwa kelele nilizopiga..!💛💚💛💚🙌