Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kajamaa kanipiga kote uko kutafta ninGoooooooooooal amekosaaaa...
Mpira unapita Mlimwa sasa
Umeshapata videos au nikutumie?Ila shabiki wa simba kushabikia yanga hapa unateseka kinoma.
Kafunga bibi ako sio?
Nmeona tu akikata viuno ila hilo bolooooooo la maana ndo bado sijaona, ntumie tu boss wanguUmeshapata videos au nikutumie?
Mtumie mimi kila nikitaka kutuma inanigomeaUmeshapata videos au nikutumie?
Hata mimi nalewa ujue 😂Kafunga bibi ako sio?
Mpira ushapita Manyoni ulekajamaa kanipiga kote uko kutafta nin
Kwendraaaaaa shenzee na ushabiki wako ushabiki maandazi🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ndo umelewa ukaona goliHata mimi nalewa ujue 😂
Penati ya kulazimisha kabisa.Aina ya penati wanayopewa Dodoma ni kama refa kabeti
Sema kweli 😂😂Hamwezi kuamini Uto wanapelekewa motp