FT: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Jamhuri | Mei 22, 2024

Uyu Aziz K kuja kucheza soka uku Mashariki ya Afrika ni Neema tu ya Mungu.

Jamaa anajua Sana boli, jinsi alivyo kua anapokea iyo mali kabla beki haja mchezea faul wapo namba 10 wengi tu Ulaya hawana uwezo uo.

Ana nikumbusha mwamba mmoja alipita pale Yanga miaka ya 80'anaitwa Doto Ruta Mokili (freezer) mali zote alikua anazi pokelea kifuani (Gambani)
Iyo nickname yake ya "Freezer" 😁
 
Acheni utani na professional leagues kubwa jamani, tuwe realistic tu wakubwa, hivi vijamaa kwenye ligi kubwa kama epl, bundes, serie a, la Liga usivione ni vidogo ukavichukulia poa aisee, Hawa kina Aziz k ni level za huku kwetu tu ukimpeleka huko utachekesha watu sheikh, tuwe wakweli tu..... Timu ya championship kama Leicester wakija huku hakuna timu itakula chini ya chuma 3 mpaka ligi iishe, labda tuwachezeshe viwanja kama kile Cha jkt kilichojaa tope, ila kwenye standard pitches tutachezea sana, wangekua na viwango hivyo wangeenda huko kitambo Kuna mtu hapendi pesa kwani?
 
Mchezaji yeyote anayeanza timu ya taifa kama Burkina faso, Mali, DRC anauweza wa kucheza Epl na ligi kubwa za ulaya
 
Ki anaishia goli 15 . Hana maajabu tena ya kupata goli. Na wazee wa Pemba hawakubali Ki amzidi Feisal
We jamaa nmeamini unaujua mpira
Natamani ungekua mchambuzi wa kandanda
Hua naawaangalia sana hawa wachambuzi uchwara
Safi kabisa mkuu
 
Screenshot_20240522-171611.png
 
Back
Top Bottom