FT: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Jamhuri | Mei 22, 2024

FT: Dodoma Jiji 0-4 Yanga SC | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Jamhuri | Mei 22, 2024

Hivi ni kwanini unapenda kumkashfu mwenzio nq kuukqshfu uumbaji wa Mungu. Hii sio sawa bwana mdogo hata kama unatumia simu ya Dada yako hapo kwa shemeji yako baada ya kuja mjini kujisikilizia toka umalize form four mwaka jana.
Anadhani ameshamaliza uzazi, Nakwazika sana na watu wa aina hiyo, huwezi kumdhihaki mtu kwa jambo ambalo hakujiumba yeye ila amezaliwa nalo.
 
Chumaaaaa....![emoji1732][emoji91][emoji23][emoji172][emoji169]
16 goals
Ila yule beki kaniudhi sana, ile Aziz Ki alikuwa anafunga goli la kawaida kabisa. Beki kampunguzia point Aziz Ki na kufanya awe na penati 3 vs 1 ya Feisal.
 
Chumaaaaa....!🤸🔥😂💚💛
16 goals
Uyu Aziz K kuja kucheza soka uku Mashariki ya Afrika ni Neema tu ya Mungu.

Jamaa anajua Sana boli, jinsi alivyo kua anapokea iyo mali kabla beki haja mchezea faul wapo namba 10 wengi tu Ulaya hawana uwezo uo.

Ana nikumbusha mwamba mmoja alipita pale Yanga miaka ya 80'anaitwa Doto Ruta Mokili (freezer) mali zote alikua anazi pokelea kifuani (Gambani)
 
Nilijua tu we ni mwanayanga, myahudi wa Bonyokwa Mkubwa wewe
Hivi ni kwanini unapenda kumkashfu mwenzio nq kuukqshfu uumbaji wa Mungu. Hii sio sawa bwana mdogo hata kama unatumia simu ya Dada yako hapo kwa shemeji yako baada ya kuja mjini kujisikilizia toka umalize form four mwaka jana.
 
Uyu Aziz K kuja kucheza soka uku Mashariki ya Afrika ni Neema tu ya Mungu.

Jamaa anajua Sana boli, jinsi alivyo kua anapokea iyo mali kabla beki haja mchezea faul wapo namba 10 wengi tu Ulaya hawana uwezo uo.

Ana nikumbusha mwamba mmoja alipita pale Yanga miaka ya 80'anaitwa Doto Ruta Mokili (freezer) mali zote alikua anazi pokelea kifuani (Gambani)
Acheni utani na professional leagues kubwa jamani, tuwe realistic tu wakubwa, hivi vijamaa kwenye ligi kubwa kama epl, bundes, serie a, la Liga usivione ni vidogo ukavichukulia poa aisee, Hawa kina Aziz k ni level za huku kwetu tu ukimpeleka huko utachekesha watu sheikh, tuwe wakweli tu..... Timu ya championship kama Leicester wakija huku hakuna timu itakula chini ya chuma 3 mpaka ligi iishe, labda tuwachezeshe viwanja kama kile Cha jkt kilichojaa tope, ila kwenye standard pitches tutachezea sana, wangekua na viwango hivyo wangeenda huko kitambo Kuna mtu hapendi pesa kwani?
 
Back
Top Bottom