ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Mawili🤸Ki kafunga?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mawili🤸Ki kafunga?
Haifuti ukweli, acha kukashfu uumbaji wa Mungu. Sio sawa we kula kulala kwa dada yako ufanyacho.Nilijua tu we ni mwanayanga, myahudi wa Bonyokwa Mkubwa wewe
Pia sio kumaliza uzazi, wahenga wanasema hujafa hujaumbika. Dunia haipo kama anavyodhani huyo Bwana Mdogo.Anadhani ameshamaliza uzazi, Nakwazika sana na watu wa aina hiyo, huwezi kumdhihaki mtu kwa jambo ambalo hakujiumba yeye ila amezaliwa nalo.
Huyu jamaa nae alikua na ukame wa goli sanaChumaaaaaa ⚽️⚽️⚽️⚽️ Aziz Mpia Nzengeli
Hawawazidi SimbaaHAWA DODOMA JIJI MBONA KAMA WANA
UNYAFUZI
Azizi ana magoli 200 na Fei goli 100Naomba kujuzwa azizi ana magoli mangapi? Na feisal mangap
Yaan wasije pigwa dazaniHawawazidi Simbaa
Roho inamuumaMtangazaji wa azam awe anatumia kauli za kimichezo,anasemaje kwamba golie wa dodoma jiji Amekataa kuwa mjinga mara ya tano baada ya ki aziz kukosa goli la 5
Wamekutana na mabingwa sasa wafanyeje?HAWA DODOMA JIJI MBONA KAMA WANA
UNYAFUZI
Inakupa raha zaidi ya chururuu.Mods tubadilishieni ubao mazee..!!
Ila Yanga ina raha mpaka basii..!!🤭
Mwaka wa kilio unakuja,andaa machozi.Yanga kila siku tunashinda hadi tumechoka kufurahi