FT: Dodoma Jiji 0 Simba 1

Red card ya uonevu
Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa
 
Mpaka dakika zile refa kawalea sana hawa dodoma jiji walitakiwa wawili wawe nje kwa nyekundu sio kwa rafu zile
 
Red card ya uonevu
Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa
Ulitaka mpaka Kennedy afe ndiyo red itoke chief!
 
Acha ushabiki maandazi ile ni red hujaona kiwiko cha makusudi kabisa
 
Hii timu tukafungie mandazi takataka hizi

Mwamedi mwamedi nimekuita mara mbili hi timu mtapata aibu Sana msimu huu.
Utapona tu muda sio mrefu mjiandae kulia lia kama kawaida yenu
 
Ile project ya 15M italeta shida kwa hizi timu.
Uto badilini project hii upesi
 
Ulitaka mpaka Kennedy afe ndiyo red itoke chief!
Hapana lile tukio halikua red kihalisia kabisa. Mchezaji amepata majeraha sawa lakini haikuwa faulo dhahiri zaidi wali gongana
 
Red card ya uonevu
Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa
Khaaa acha ushabiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…