Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Ushindi wa red card
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia utoUshindi wa red card
Unateseka sana na mifaulo yenu hahaahahUshindi wa red card
Tulia utopoloHii time tukafungie mandazi takataka hizi
Umekaa cha wapi
Mpaka dakika zile refa kawalea sana hawa dodoma jiji walitakiwa wawili wawe nje kwa nyekundu sio kwa rafu zileRed card ya uonevu
Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa
Ulitaka mpaka Kennedy afe ndiyo red itoke chief!Red card ya uonevu
Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa
Acha ushabiki maandazi ile ni red hujaona kiwiko cha makusudi kabisaRed card ya uonevu
Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa
Utapona tu muda sio mrefu mjiandae kulia lia kama kawaida yenuHii timu tukafungie mandazi takataka hizi
Mwamedi mwamedi nimekuita mara mbili hi timu mtapata aibu Sana msimu huu.
Mtopolo huna akili kabisaRed card ya uonevu
Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa
Umeshawishiwa na nani?..au wewe mwenyewe tu?Nipo Uwanjani najuta bora ningeenda tu kutembea sehemu nyingine
Hapana lile tukio halikua red kihalisia kabisa. Mchezaji amepata majeraha sawa lakini haikuwa faulo dhahiri zaidi wali gonganaUlitaka mpaka Kennedy afe ndiyo red itoke chief!
Karibu nyumbani kumenogamwaka wetu huu
Khaaa acha ushabikiRed card ya uonevu
Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa