Luc Eymael hakukosea kabisa, nyinyi ni wapumbavu na hamjui chochote kuhusu mpiraHapana lile tukio halikua red kihalisia kabisa. Mchezaji amepata majeraha sawa lakini haikuwa faulo dhahiri zaidi wali gongana
Mtu kamfuata kumpinga mtu unasema sio faulo kosa lipo kwa refa kuchelewa kufanya maamuzi tu ila straight red card ni sahii kabisaRed card ya uonevu
Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa
We kweli kiaziRed card ya uonevu
Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa
Hivi kupigwa kiwiko ni kugongana? Huko kugongana umeona wapi ewe utopoloHapana lile tukio halikua red kihalisia kabisa. Mchezaji amepata majeraha sawa lakini haikuwa faulo dhahiri zaidi wali gongana
Yaani wewe unajua kuliko yule aliye ndani anachezesha. Au unataka mtu achezewe foul mpaka afe?Red card ya uonevu
Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa
Yes. Huyo wa pili anaitwa Hoza. Ndio kasababisha Sakho kutolewa. Vilevile kamchezea rafu HDMpaka dakika zile refa kawalea sana hawa dodoma jiji walitakiwa wawili wawe nje kwa nyekundu sio kwa rafu zile
Wewe ulikuwa karibu na eneo la tukio kuliko ref ?Hapana lile tukio halikua red kihalisia kabisa. Mchezaji amepata majeraha sawa lakini haikuwa faulo dhahiri zaidi wali gongana
Umeshawishiwa na nani?..au wewe mwenyewe tu?
Mkuu ebu angalia apa je wamegongana au ni kiwiko? Tuache mahaba sometimeRed card ya uonevu
Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa