FT: Dodoma Jiji 0 Simba 1

FT: Dodoma Jiji 0 Simba 1

Red card ya uonevu
Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa
Mtu kamfuata kumpinga mtu unasema sio faulo kosa lipo kwa refa kuchelewa kufanya maamuzi tu ila straight red card ni sahii kabisa
 
Hapana lile tukio halikua red kihalisia kabisa. Mchezaji amepata majeraha sawa lakini haikuwa faulo dhahiri zaidi wali gongana
Hivi kupigwa kiwiko ni kugongana? Huko kugongana umeona wapi ewe utopolo
 
Refa anauharibu huu mpira....

Anashindwa kuchukua maamuzi ya haraka.....

Yale madhambi aliyofanyiwa SAKHO yalistahili hata kadi ya njano....

#MbeleDaimaNyumaMwiko
 
Red card ya uonevu
Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa
Yaani wewe unajua kuliko yule aliye ndani anachezesha. Au unataka mtu achezewe foul mpaka afe?
 
Haya sasa hapa wanasimba tunaweza kushinda hii game baada hawa Dodoma Jiji kupungua uwanjani, tofauti na hapo hii tulikuwa tunafungwa

Twendeni tukashinde kipindi cha pili wanasimba wenzangu baada ya refa kurahisisha kazi
 
Hapana lile tukio halikua red kihalisia kabisa. Mchezaji amepata majeraha sawa lakini haikuwa faulo dhahiri zaidi wali gongana
Wewe ulikuwa karibu na eneo la tukio kuliko ref ?
 
Red card ya uonevu
Ile faul ya kugongana lakini hakucheza rafu mchezaji wa Dodoma kama ingekuwa na haja sana walau njano ambayo pia haikua sawa
Mkuu ebu angalia apa je wamegongana au ni kiwiko? Tuache mahaba sometime
 
Attachments

  • VID-20211001-WA0013.mp4
    943.7 KB
Back
Top Bottom