FT: Dodoma Jiji 0 Simba 1

Mashabiki wa kweli hawahami timu best. Yanga walikua na misimu mi4 mibovu uliona wanahama?
Hata msimu huu utopolo wabovu Tu..subiri ligi iingie mwezi mpevu uone..yanga wala usiwe na mashaka nao maana Wana Tabia ya kuwaka km kifuu kisha wanakata Moto mzunguko wa pili

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Mzamiru ni mchezaji mwenye mapungufu mengi sana

Ukimfanyia pressing kidogo tu anapoteza mpira, hana confidence na uwezo wake miguuni kabisa.
 
Tatizo ni ile ahadi ya mkuu wa mkoa wao ambae ni mwanachama mtiifu wa wananchi... Nafikiri kuna mengi sana nyuma ya hizi ahadi kama ile iliyotolewa na RC wa mara kwa biashara!
Makes sense

Halafu umsisahau mfadhili wao Mavunde pamoja na engineer Hersi ambaye ni mzaliwa wa Dodoma.

Hawa ni tawi la utopolo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…