Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,758
- 6,299
Naona tumewaza pamojaDuncan Nyoni [emoji1316]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona tumewaza pamojaDuncan Nyoni [emoji1316]
Kama ni Mavunde ni sawa maana ni Mwananchi lialiaHii ahadi ya yule mbunge nazani ni mwananchi lialia
Waludhani wanacheza rugby.Makolo wameshika pumbu wanaomba mpira uishe wkt wanacheza na timu iliyo pungufu
Wapumbavu sana hawa Dodoma jiji. Wamefundishwa kucheza rafu wanadhani sisi wazee (MAKOLO) wa soka Tanzania kwa miaka minne tunatishwaWaludhani wanacheza rugby.
Hata msimu huu utopolo wabovu Tu..subiri ligi iingie mwezi mpevu uone..yanga wala usiwe na mashaka nao maana Wana Tabia ya kuwaka km kifuu kisha wanakata Moto mzunguko wa piliMashabiki wa kweli hawahami timu best. Yanga walikua na misimu mi4 mibovu uliona wanahama?
Mimi nilivyokuwa nataka kuandika nikaona hii..basiNaona tumewaza pamoja
huyo kadi nyekundu haikumtosha alipaswa apigwe na vibao kadhaaMkuu ebu angalia apa je wamegongana au ni kiwiko? Tuache mahaba sometimeView attachment 1959418
Makes senseTatizo ni ile ahadi ya mkuu wa mkoa wao ambae ni mwanachama mtiifu wa wananchi... Nafikiri kuna mengi sana nyuma ya hizi ahadi kama ile iliyotolewa na RC wa mara kwa biashara!
Hersi hajazaliwa Mogadishu huyu?Makes sense
Halafu umsisahau Mavunde pamoja na engineer Hersi ambaye ni mzaliwa wa Dodoma.
ASANTE SANA SHEIKH YAHYA!Hata msimu huu utopolo wabovu Tu..subiri ligi iingie mwezi mpevu uone..yanga wala usiwe na mashaka nao maana Wana Tabia ya kuwaka km kifuu kisha wanakata Moto mzunguko wa pili
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
PandambiliHersi hajazaliwa Mogadishu huyu?
"Mayombi Mayombi"...in Baba Neema's voice..[emoji3][emoji3]M
Mayombi Tena jaman [emoji23][emoji23][emoji23]
Hersi ni wale wasomali waliokuja TZ kabla hata ya uhuru. Akienda Mogadishu watamkataa watamwambia wewe ni mtanzania.Hersi hajazaliwa Mogadishu huyu?