uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
Another game, Mzunguko wa Nne.
Dodoma Jiji wanaikaribisha Simba SC ya Dar es sala
Uwanja wa Jamhuri, Jijini Dodoma.
Kikosi cha Dodoma Jiji Kinachoanza.
Kikosi cha Simba Kitakachoanza
#nguvumoja#
Ushindi mwingine ugenini.
Updates za Mchezo Kipindi cha Kwanza.
===========================
DK 1'
Dodoma wameanza mpira hapa.
Bado umiliki ni kwa Dodoma jiji.
DK 2'
Simba wanafanya shambulizi moja la hatari hapa.
Goli kipa anadaka mpira.
Ilikuwa ni shambulizi la mapema kweli kweli.
DK 5'
Kibu anapiga off target moja hapa.
DK 6'
Atebaa anapiga on target moja matata sana
Kipa ana daka.
Mpira uko kwenye umiliki wa Simba sasa.
DK 8'
Kibu anafanyiwa faulo anaipiga Hamza
Mpira unaokolewa na Dodoma Jiji.
Game On
0-0
DK 12'
Mpira unaendelea
Milango bado ni migumu kwa timu zote mbili.
0-0
DK 13'
Simba wanapata kona ya kwanza
Wanapiga haileti madhara kwa wapinzani.
0-0
DK 16'
Dodoma wanakosa goli, kwa makosa ya Kijili,.
0-0
DK 20'
Mpira unaendelea bado una kasi.
Wakati huo huo
Dodoma wanapata free kick upande wa kushoto.
Anapiga Ajibu inatolewa na Debora Mavambo.
0-0
DK 22'
Mchezaji wa Dodoma Jiji yuko chini
ametolewa nje kwa matibabu zaidi.
DK 24'
Ibrahim Ajib anatoka kwa kupata Majeruhi.
Nafasi yake inachukuliwa na Paul Peter.
Game on
0-0
DK 26'
Onyango anachoma, inapigwa na Debora inaokolewa na kichwa.
Simba wanakosa tena goli la wazi kabisa hapa.
0-0
DK 28'
Simba wanakosa tena goli la wazi.
Debora anapiga inapaa juu.
0-0
DK 34'
Mpira unaendelea, bado umiliki mkubwa ni kwa Simba.
Wanafanya mashambulizi ya mara kwa mara.
0-0
DK 36'
Simba wanapata kona ya pili inapigwa haiwapi faida yoyote ile.
Mpira unaendelea.
0-0
DK 38'
Dodoma wanapata kona,
Wanaanza kona fupi hapa, wanapoteza mpira.
Che malon anaondoa
0-0
DK 43'
Kelvin Kijili amepata injury, yuko chini anatoka nje kwa matibabu zaidi.
Mpira unaendelea
0-0
DK 45'
Nyongeza ni 02'
tu
Mpira unaendelea
0-0
HT
0-0
===========================
Kipindi cha Pili.
Simba wameanza na mabadiliko,
Desy Mukwala Out
Awesu Awesu Inn
DK 46'
Mpira unaendelea
0-0
DK 52'
Simba wanapata kona ya tatu.
Anapiga Kibu D,
haizai matunda.
DK 57'
Ateba anajaribu kupiga shuti kali.
Inakuwa off target.
Sub kwa Simba.
Kijili Out
Shomari Kapombe Inn.
DK 59'
Simba wanapata penalty.
Mohamed Hussein anachezewa faulo ndani ya 18.
Wakati huo anafanyiwa matibabu nje.
Captain wa Dodoma Jiji anapata yellow kadi.
DK 62'
Anapiga penati Jean Charles Ahoa
Goooooooooooal
Chumaaaa
Simba wanapata goli la kuongoza.
DK 65'
Substitution Simba.
Kibu D Out
Balua Inn
DK 67'
Sub Dodoma Jiji
Wazir Junior Out
Mwaterema Inn.
DK 70'
Simba wanapata kona.
Edwin Balua anapiga Ahoua anatoa nje.
Inakuwa goli kick.
0-1
DK 73'
Shomari Kapombe anapewa kadi ya njano,
Baada ya kucheza rafu mbaya.
Mpira unaendelea
0-1
DK 77'
Che Malon anapata Yellow kadi.
Dodoma wanapata Free kick nje kidogo ya 18.
Inapigwa inapaa inakiwa goal kick
DK 80'
Sub kwa Simba
Ahoua Out
Mashaka Inn
DK 83'
Simba wanapata kona za haraka haraka.
Kona ya sita inapigwa hapa.
Haieti faida kwao.
0-1
DK 90'
Additional ni 3'
DK 90+2'
Dodoma jiji wanakosa goli la wazi kabisa hapa
0-1
Full Time