FT: Dodoma Jiji FC 0 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Jamhuri Stadium | 29.09.2024

IMG-20240929-WA0002.jpg
 
Heee Kagoma ndani...! Pamoja na Mikwala mizito ya Yanga wakiongozwa na Kamwe na Mwanasheria Wao kwamba aombe samahani....? Au Samahani Kaomba kimya kimya?
 
Yanga nao haya masuala ya kesi wako hovyo tu...hakuna kesi wanashinda!!
 
Back
Top Bottom