nyakubonga
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 5,960
- 9,978
Kwanini mkuu?Umenshangaza!!
Wale wengine wanaotegemea majini wameamua kucheza usiku wa manane kama wangaπππππUshindi upo all the best π¦π¦π¦
Tangulini wewe uweshabiki wa kmc? Wewe ni kolo.kila la kheri KMC.tupe raha mashabiki zako
Hii game inaisha 3-1Another game, Mzunguko wa Nne.
View attachment 3109984
View attachment 3110032
Dodoma Jiji wanaikaribisha Simba SC ya Dar es sala
Uwanja wa Jamhuri, Jijini Dodoma.
#nguvumoja#
Ushindi mwingine ugenini.
Kwenye hiyo poster ina maana Manula anakuwa kipa leo?Tuna timu nzuri,
Tutapata Ushindi kwenye hii game!!
Sawa.Simba ni kama gari la mkaa tu
Makolo wameingia Dodoma kwenye tanuru la moto