Iko waziHii match n draw. Kiufupi leo hii Yanga pekee ndiyo itashinda ushindi mkubwa ila match zingine zote n draw🤣
Kipa wanae, kama diaraDodoma Jiji wazembe sana
Kbs, Dogo Hamza anazima VyemaBora venye dili la Lawi lilishindikana
Tungempata wapi Abdulrazack Hamza?
Na analimudu goliNikiangalia wachezaji wa dodoma jiji nakumbuka mpira wa utotoni kwamba kwenye kikosi kibonge kuliko wote ndio kipa