Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Hamchelewi kuukimbia uziGo Go Go 💪💪💪 Dodoma Jiji. Mmekomaa dakika 45 za mchezo. Komaeni zaidi mkirudi toka HT.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamchelewi kuukimbia uziGo Go Go 💪💪💪 Dodoma Jiji. Mmekomaa dakika 45 za mchezo. Komaeni zaidi mkirudi toka HT.
Wote yeye na msaidizi wake Nizar Khalfan ni yanga lialia..Maxime huwa anaikamia sana Simba. Nahisi ni agent wa Uto
Mikwala kibao akili kisodamkwala ana mikwala balaa
Wahi kwa wakala uka deposit mapema...mkeka ushachanikaFull time draw
KMC haina tofauti na CBE utajiumiza roho tukila la kheri KMC.tupe raha mashabiki zako
KabisaMaxime huwa anaikamia sana Simba. Nahisi ni agent wa Uto
mkuu si mnasema mna timu kali, ht draw mnaanza kulia lia hiviKabisa
Mechi bado haijaisha hiimkuu si mnasema mna timu kali, ht draw mnaanza kulia lia hivi
Duh! Sasa umekuja kufanya nini huku kama upo busy? Si ungebakia huko huko ulipokuwa?Mtatisimulia sisi wengine tuko busy na updates za bwana Netanyahu anavyowala vishundu kwa mpigo watu huko Lebanon, Uemen, Palestina na Syria
sasa mawenge ya nn subiri iishe nyau kapigwa ndo ulie vzrMechi bado haijaisha hii
Simba hafi kama kuku, wewe uliyetoroka dimbwini kumbuka hilo.sasa mawenge ya nn subiri iishe nyau kapigwa ndo ulie vzr
Good move. Mukwala ameshindwa kumsaidia Ateba.Kipind cha pili sasa. Awesu ndani. Mukwala out.