princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Wameahidiwa 1m kwa kila mchezaji endapo wakiifunga Simbaπ€£π€£π€£ leo kimoshi siyo kivumbiπ€£π€£Dodoma wamekamia!
Naunga mkono hoja.Kipindi cha pili Mukwalla aende nje aingie Balua Ahoua akae shimoni pale
mkwala ana mikwala balaaKipindi cha pili Mukwalla aende nje aingie Balua Ahoua akae shimoni pale
nyau hakuna timu zaidi ya kujifarijiMaxime huwa anaikamia sana Simba. Nahisi ni agent wa Uto
hawana hamu!Uzi hautembei huu, mmejificha mpaka mshinde?
Nipo Dodoma Jiji kwa mkopo π