Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Acha uongo ivory coast na ujerumani ndo wamepitaECUADOR 2 - 1 GERMANY
Ecuador pamoja na Germany wote wanapata nafasi ya kusonga mbele katika hatua ya mtoano ya kombe hili la dunia 2026 itakayohusisha nchi 32 zilizoongoza ndani ya makundi yao.
Niliangalia badae nkapitiwa na usingizi kushtuka saa 12 asubuhi
Kwani hamlali pamoja?Niliangalia badae nkapitiwa na usingizi kushtuka saa 12 asubuhi